Yanga yapanda dau kwa Girumugisha
Kama kuna mchezaji anawaumiza vichwa viongozi wa Yanga ni Jean Claude Girumugisha.
Chanzo changu kimeniambia Yanga wanajua ofa ya Pyramid imekataliwa,Yanga wanajua kuna klabu ya Ittihad kutoka Libya ila Yanga wamegoma kukata tamaa.
Yanga bado wanapambana kushinda vita ya Jean Claude Girumugisha.
Chanzo changu kimenisiaitiza nisiwatoe Yanga kwenye vita ya Jean Claude Girumugisha.
