Yanga yakamilisha usajili wa straika wa Mashujaa
Jioni ya leo Yanga wamekamilisha usajili wa mshambuliaji wa Mashujaa,Raia wa Tanzania,Hussein Juma Mihambo (19).
Hussein Juma Mihambo amesinya mkataba wa miaka minne Yanga.
Yanga wametoa tsh 200m kumpata namba 9 huyo.
Hussein Juma Mihambo ni Balaa jipya Jangwani.
