Vilabu vyamgombea kocha wa Mtibwa
Licha ya klabu ya Mtibwa Sugar kutokuwa tayari kumuachia kocha wao raia wa Kenya Yusuf Chippo imefahamika vipo Vilabu kadhaa vya ligi kuu ya NBC vimeonesha uhitaji wa kuipata huduma yake,
Uongozi wa klab ya Mtibwa Sugar haupo tayari kumpoteza kocha huyo na unaamini ni mwalimu sahihi kuendelea kuwepo hapo kwenye project yao wa kuwarejesha ligi kuu msimu wa 2027/28,
Bado mpaka muda huu haijafahamika kama Kocha huyo atasalia na Mtibwa Sugar ama ataondoka,
