Simba yapindua meza
Simba wanataka kupindua meza kwa Yona Amos (27).
Yona ni mcheza huru baada ya kumalizana na Pamba Jiji.
Mwezi uliopita Yona alikubaliana kila kitu (Sign on fee,mshahara) na Singida Black stars ila dili hilo limechelewa kukamilika coz Singida bado hawajaingiza hela kwenye Account ya Yona.
Baada ya Simba kugundua hilo wameingilia kati na sasa wanataka kupita na kipa huyo.
Mazungumzo ya Simba na Yona yanaendelea.
