Simba yaiomba Bodi ya Ligi ilete waamuzi wa nje ya nchi
Uongozi wa klabu ya Simba SC umeandika barua kwenda Bodi ya Ligi Kuu (TPLB) na TFF kuwataka wachague Waamuzi ambao hawana maamuzi mabaya ya kujirudia.
Simba SC ipo tayari kughalimikia Bodi ya Ligi na TFF kuleta Marefa kutoka nje ya nchi ikiwa humu ndani itashindikana
