Rais wa nchi amtembelea Pacome

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na MWANANCHI NAMBA MOJA Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan na leo alimtembelea na kumpa pole mchezaji wa timu ya wananchi Pacome Zouzoua, ambaye anaendelea kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Aga Khan, Dar es Salaam kufuatia majeraha aliyoyapata wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya JKT Tanzania.