Mrithi wa Pedro Yanga huyu hapa
KLABU ya Yanga imemtambulisha Manqoba Brilliant Ferrimant Mngqithi (55) kutoka Golden Arrows ya kwao, Afrika Kusini kuwa kocha wake mpya Mkuu akichukua nafas ya Mreno, Pedro Valdemar Soares Gonçalves aliyeondolewa Mei mwaka huu

