MC Alger yavutiwa na Nduwumwe
MC Alger inavutiwa na kiwango cha mshambuliaji Mossi Nduwumwe (22) kutoka Singida Black Stars FC na tayari wameanza mazungumzo na Singida Black Stars FC ili kupata huduma yake!
Ofa nono ilishawekwa mezani kwa Singida Black Stars kilichobaki ni makubaliano baina ya pande zote mbili na hakuna ofa yoyote kutoka Young Africans SC iliyofika mezani kwa Singida Black Stars FC.
