Ligi Kuu bara kutimua vumbi Agosti 16


Ligi Kuu ya msimu ujao wa 2026/2027 inatarajiwa kuanza kutimua vumbi kuanzia Agost 16 2026 na kumalizika kabla ya June 1 2027!

Mojawapo ya sababu kubwa ya Ligi kurejea mapema ni uwepo wa AFCON 2027 ambayo itafanyika Tanzania, Kenya na Uganda kuanzia June 19 2027 mpaka July 18 2027!

Ratiba ya Ngao ya Jamii itatoka mapema ikifuatiwa na ratiba ya ligi kuu 2026/2027!


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI