Kigogo Yanga amfagilia Karia
Mjumbe wa kamati ya utendaji kwenye klabu ya Yanga,Alex Ngai anasema kuwa amefurahishwa na maamuzi ya Rais wa TFF, Wallace Karia ya kufuta kanuni ya timu ya ugenini kufanya mazoezi siku moja kabla ya mchezo husika (dhidi ya timu mwenyeji)
"Kwani hii kanuni si kuna timu moja tu ndiyo imeharibu?,ila nimefurahi kufutwa kwa hii kanuni"- Alex Ngai
