JKT Tanzania yamng' oa Sure Boy Yanga


Mazungumzo baina ya pande zote mbili kwa maana upande wa Salum Abubakar Sure boy na JKT Tanzania yamekamilika na kilichosalia kwasasa ni kusaini kandarasi tu.

Licha ya vilabu kama Dodoma Jiji na Mashujaa kuonesha nia ya kuipata huduma yake ila Maafande, Jkt Tanzania ndio wapo karibu zaidi kukamilisha usajili wake

Sure (36) anaondoka Young Africans baada ya iandarasi yake kuisha


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI