Henoc Molia straika mpya Azam FC
Azam FC imefikia makubaliano na St Eloi Lupopo ya kumsajili mshambuliaji Henoc Molia (22) kwaajili ya kuitumikia klabu hiyo kwa msimu ujao wa 2026-27.
Henoc Molia amesajiliwa kwa kuchukua nafasi ya Bola Kitambala aliyeondoka klabuni hapo na Henoc Molia ni pendekezo la kocha wao Florent Ibenge.
