Gwalala aamua kusepa Coastal Union

Kiungo Greyson Gwalala ameachana na Coastal Union FC kuelekea msimu mpya na amesaini mkataba wa TRA United FC.

Kila kitu kimekamilika na Greyson Gwalala ni mali ya TRA United FC. 32yrs


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI