Chris Mugalu huyoo Caps United
Mshambuliaji Chris Mugalu (35) amejiunga na klabu ya CAPS United kwaajili ya msimu ujao wa 2026-27 kutoka Forest Rangers
Chris Mugalu aliwahi kucheza Simba SC kabla ya kujiunga na CAPS United ambayo mkataba wake na klabu hiyo kumalizika.
