Camara atimkia FC Annecy

Mlinda mlango wa zamani wa Simba Sports, Mousa PinPin Camara anajiunga na FC Annecy inayoshiriki Ligi daraja la pili Ufaransa akiwa mchezaji huru baada ya kumaliua kandarasi unyamani.

Camara atacheza French Ligue 2 msimu ujao.

FC Annecy walihusika pia na rehab yake kupona majeraha kipindi hiki alichokuwa nje na kusafiri mara kdhaa kuelekea Ufaransa kwa Matibab


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI