Betway yaishikisha Simba milioni 78 za ubingwa CRDB

KLABU ya Simba SC imepewa Bakhshishi ya Sh. Milioni 78.5 na Wadhamini wao, Kampuni ya Betway kwa kutwaa Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), michuano inayodhaminiwa na Benki ya CRDB.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI