Azam FC yapigwa faini
KLABU ya Azam imetozwa Faini ya Sh. Milioni 50, huku viongozi na wachezaji wake nao wakichukuliwa hatua mbalimbali za kinidhamu kwa makosa tofauti kwenye mchezo wa Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), michuano inayodhaminiwa na Benki ya CRDB.
Azam Football Club
Tanzania Football Federation
CRDB Bank Plc
Azam Sports
TBC Taifa
Precision Air

