Azam FC inasajili kibingwa

Azam FC imekamilisha usajili wa beki wa kati Lupini Dieumerci (20) kutoka AS Maniema Union kwaajili ya msimu ujao!

Kila kitu kimekamilika na atatambulisha hivi karibuni na Matajiri wa Chamazi na atachukua nafasi ya Yoro Diaby waliyeachana nae.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI