Al Ittihad SC yanasa kocha wa fitness wa Yanga
Al Ittihad SC imeanza mazungumzo na Tshephang "Chyna" Mokaila ambaye ni kocha wa fitness wa Young Africans SC kwaajili ya kuitumikia klabu hiyo kwa msimu ujao!
Mazungumzo yanaendelea vizuri sana baina ya Tshephang "Chyna" Mokaila na Al Ittihad SC na Libya na ikiwa watafikia makubaliano chanya atahamia Libya kwasababu amepewa ofa kubwa zaidi ya Wananchi kuanzia mshahara hadi vipengele vingine vya kimkataba.
