Akaminko ruksa kwenda Yanga
Klabu ya Azam FC imeachana na Kiungo wake James Akaminko Raia wa Ghana Baada ya Mkataba wake kumalizika.
Kocha Mkuu wa Klabu ya Azam FC Florent Ibenge Raia wa Congo Anasema James Akaminko hayuko kwenye Mipango Yake Msimu Ujao.
Lakini inaelezwa kwamba huo ni mpango wa Yanga ambayo ilionesha nia ya kumuhitahi sasa kitendo Cha kumuacha ni kuiruhusu Yanga iweze kumsajili kirahisi
