Akaminko njia nyeupe kwenda Yanga
Yanga SC wameanza mazungumzo rasmi na kambi ya James Akaminko wakipania kuimarisha safu yao ya kiungo kabla ya msimu mpya.
Mkataba wa sasa wa kiungo huyo wa kimataifa wa Ghana unatarajiwa kumalizika Julai 5, na Kwa sasa akamiko anaweza kuzungumza na timu yeyote
Yanga SC sasa wanatathimini uwezekano wa kumleta klabuni hapo,lakini mazungumzo bado yanaendelea na hakuna makubaliano ya mwisho ambayo yamefikiwa katika hatua hii
