16 wapitishwa kugombea Yanga

WANACHAMA 16 wamepitishwa kugombea nafasi za Ujumbe wa Kamati ya Utendaji ya klabu ya Yanga kafika uchaguzi utakaofanyika Agosti 2, mwaka huu akiwemo Issa Ally Mangungu ambaye ni mdogo wa Mwenyekiti wa Simba, Murtaza Ally Mangungu.

Wengine waliopitishwa ni Hersi Ally Said anayetetea nafasi yake ya Urais na Arafat Haji anayetetea pia nafasi ya Makamu wa Rais na ambao wote hawana wapinzani.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI