Mangungu afunguka baada ya kukosa ubingwa
Niwaambie tu kuwa Bingwa wa Ligi Kuu msimu huu amepatikana kwa kupendelewa na kila mtu anajua na Waandishi mnaelewa.. hakuna fair competition na makosa ya kibinadamu yalikuwa ya kutosha kwa marefa waliochezesha mechi za Bingwa (Yanga) ".
- Mwenyekiti wa Simba akiongea baada ya mchezo wa Simba SC dhidi ya KMC kumalizika.. akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu Young Africans SC kuwa Bingwa wa Ligi kuu msimu huu.
