Silver Strickers yawasili Dar es Salaam kuikanda Yanga
Kikosi cha Wachezaji wa Silver Strikers wamewasili nchini kujiandaa na mchezo wa marudiano ya mchezo wa awali wa kufuzu hatua ya makundi dhidi ya Yanga SC.
.
Silver Strikers wametanguliza mguu mmoja mbele baada ya kushinda mchezo qa kwanza kwa bao 1-0 huko nchini Malawi