Shujaa wa Eloi Lupopo dhidi ya Orlando Pirates

Ushujaa wa Simon Omossola ulivyoipeleka Saint Eloi Lupopo katika hatua ya Makundi ya ligi ya mabingwa ya CAF.

Kipa huyo wa Cameroon aliye imara katika goli, aliokoa penalti mbili baada ya sare ya 3-3 na Orlando Pirates mwishoni mwa mchezo wa kawaida. Timu ya DR Congo ilishinda 5-4...


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI