Raja Casablanca kumng' oa Maema Msimbazi

Kocha mkuu wa klabu ya Raja CA, ambaye amewahi kuinoa Simba SC ya Tanzania , Fadlu Davids anaripotiwa kuihitaji saini ya kiungo wa klabu yake hiyo ya zamani Neo Maema.

Ikumbukwe Fadlu ndiye aliyependekeza usajili wa mchezaji huyo ndani ya Simba SC.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI