Injinia Hersi atamba leo kutambulisha kocha mkubwa duniani

Rais wa klabu ya Yanga Sc Eng.Hersi Said amethibitidha usiku wa leo klabu yao itamtambulisha kocha mkuu kutoka Ulaya  ambaye ana uwezo na uzoefu mkubwa 

Hersi Said

“Tumefanya maamuzi sahihi na usiku wa leo yanga itatambulisha kocha bora kutoka Ulaya tutatambulisha kocha mwenye Ubora, Experience Kubwa, kocha atakayetuvusha kwenye mashindano haya kwenda hatua inayofuata”.

“Habari hii Nzuri inakuja kwenu wananchi na Leo tutamtambulisha usiku huu kama Zawadi kwenu kwa kutuunga mkono”.

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI