Top scorer wa Simba Queens atimka


Mshambuliaji wa Simba Queens, Jetrix Shikangwa, ameondoka rasmi klabuni hapo na kujiunga na FC Masar ya Misri.

Jetrix anaondoka baada ya msimu bora, akifunga mabao 16 na kuwa mmoja wa nyota walioisaidia Simba Queens kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania.

Anatarajiwa kuungana na Mtanzania, Hasnath Ubamba, anayekipiga FC Masar.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI