Simba yaibomoa Stellenbosch

Klabu ya Simba SC wapo kwenye mazungumzo ya kumchukua Ibraheem Jabaar Na Tayari wameweka Ofa Nono Mezani kwa ajili ya Midfielder hii hatari kutoka Stellenbosch FC Ya Afrika Kusini

Ibraheem anaweza kucheza maeneo matatu ya mbele, number 8, number 10 na winga zote mbili kushoto au kulia.

Kwa taarifa nilizonazo ni kwamba Ibraheem Jabaar ni pendekezo la kocha Steve Baker ambae Alimsajili akiwa kama kocha wa Stellenbosch FC...


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI