Rasmi, Yanga wanamleta Fadlu

Inaripotiwa nchini Afrika Kusini mchana huu kwamba, Yanga Afrika wameweka ofa mezani na wako kwenye mazungumzo kumsaini Kocha Fadlu Davids kama kocha wake mpya mkuu kuelekea msimu ujao.

Fadlu Davids aliitumikia Simba Sports msimu huu, hapa Tanzania kabla ya kutimkia Raja Club huko Morocco ambako baada ya matokeo mabovu dhdi ya vilabu vikubwa na kuukosa Ubingwa wa Botola Pro alifutwa kazi jijjni Casablanca wiki chache zilizopita.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI