Raja Casablanca yanasa kiungo wa Yanga

Klabu ya Raja Casablanca inafikiria kumrudisha kiungo wao Moussa Balla Conte katika klabu yake ya Young Africans SC baada ya kuwatumikia kwa mkopo!

Raja AC hawaridhishwi na kiwango chake na atakutana na Fadlu Davids ikiwa atamalizana na Young Africans SC kwa makubaliano ya mwisho pia Raja AC wanatarajia kuwasiliana na Young Africans SC ili kuwapa taarifa kuwa hawatamuongezea mkataba wa muda mrefu kiungo huyo.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI