Nasri Kombo mali ya Yanga msimu ujao
Yanga SC wapo hatua za mwisho kukamilisha dili hili beki wa kati bwana mdogo Nasri Kombo ambaye amekuwa na kiwango bora msimu huu ndani ya TRA United.
Yanga SC inataka beki mzawa wa kwenda kuongeza nguvu kwenye ukuta wao pamoja na kutoa Challange kwa Job,Bacca na Mwamnyeto.
