Kitambala awaniwa na Singida Black Stars
Singida Black Stars,wako kwenye mazungumzo ya kina na mshambuliaji wa Azam FC,Jephte Kitambala (27).
Mazungumzo yako kwenye hatua nzuri na Kitambala ameonyesha nia ya kujiunga na Singida mwishoni mwa msimu huu.
