Kiboko ya Yanga, atua Caps United Zimbabwe

Uchizi Vunga amejiunga na klabu ya CAPS United inayoshiriki Ligi Kuu ya Zimbabwe akitokea Silver Strikers FC.
-
Vunga anakuwa mchezaji wa pili kuondoka katika wiki za hivi karibuni, kufuatia kuondoka kwa beki wa kulia McDonald Lameck ambaye amejiunga na Hard Rock FC.
-
Vunga alijiunga na Silver Strikers mwaka 2021 akitokea Mzuzu City Hammers, iliyokuwa ikijulikana awali kama Ekwendeni Hammers


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI