Barker amng' ang' ania Ibraheem Jabaar

Kocha mkuu wa Simba Steve Barker,ana-push sana Simba wakamilishe usajili wa kiungo wa Stellenbosch raia wa Nigeria, Ibraheem Jabaar (23).

Personal terms Siyo ishu kwani mchezaji huyo yuko huru.

Kocha anamtaka Jaabar kwani anamfahamu vizuri ila viongozi wa Simba wanamtaka namba 10 wa Chile,Diego Mauricio ambae nae ni mchezaji huru.

Simba wanamuona Diego ni Top Top Number 10 ambae atakuju kumpa changamoto Chota Chama….na Simba wako tayari kumlipa mshahara wa $20,000 (52,646,460) kila mwezi.

Wiki ijayo itakuwa muhimu sana kufanya maamuzi ya nani aje kati ya Diego Mauricio au Jabaar.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI