Aucho akaribia kutua Gor Mahia

Nahodha wa Uganda Cranes, Khalid Aucho, anatajwa kuwaniwa na klabu za Gor Mahia na Tusker FC kwa ajili ya usajili wake, kwa mujibu wa taarifa zinazoripotiwa nchini Uganda.

Kiungo huyo mwenye uzoefu mkubwa kwa sasa anakipiga katika kikosi cha Singida Black Stars, huku klabu hizo mbili za Kenya zikifuatilia kwa karibu uwezekano wa kumpata katika dirisha hili la usajili


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI