Ajitokeza kugombea na Injinia, Yanga

Mfanyabiashara mkubwa nchini katika sekta ya simu, Zahoro Matelephone, ameripotiwa kuchukua fomu katika makao makuu ya Klabu ya Yanga kwa ajili ya kuwania nafasi ya ujumbe kwenye uongozi wa klabu hiyo.

Hatua hiyo inaongeza ushindani katika mchakato wa uchaguzi wa viongozi wa Yanga, huku wadau na mashabiki wakifuatilia kwa karibu majina yanayojitokeza kuwania nafasi mbalimbali.

Iwapo atafanikiwa kuchaguliwa, Zahoro atakuwa sehemu ya uongozi utakaosimamia maendeleo ya klabu kuelekea misimu ijayo.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI