UCHAMBUZI WA HANS RAPHAEL. . Kadiri muda unavyosonga nazidi kuwa shabiki wa Inno Loemba,to me huu ndo usajili bora wa Simba this January,jamaa ni Energetic pia amebarikiwa miguu mirefu ambayo inasapoti kwenye mikimbio yake…..jamaa anakimbia umbali mrefu sana,jamaa ana mapafu,jamaa anasafisha hadi hewa,muda wote anapanda na kushuka UP and Down. Nadhani akifanyia kazi umaliziaji wake basi ataimbwa sana
Kwa habari na matangazo tunapatikana Kariakoo jijini Dar es Salaam au piga +255 652 626627 au +255 755 522 216 barua pepe princehoza@gmail.com