Singida Black Stars wamng' oa Chobwedo

Klabu ya Singida Black Stars,inapambana kumsaini Kiungo wa TRA,Ramadhan Chobwedo.

Awali Singida walikubaliana kila kitu na Chobwedo na usiku wa Tarehe 22/3/2026 baada ya mechi ya TRA na Simba kumalizika Singida walimpa ofa ya mkataba wa miaka mitatu na Tsh 120m Kama (sign on fee) Ila hadi leo Chobwedo anachenga (hataki kusaini mkataba huo).

Viongozi wa Singida wanapambana nyota huyo asabını ila kila siku anaingilia kulia anatokea kushoto.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons