Singida Black Stars kutambulisha kocha mpya, Kanu kuongoza kwa muda

Muda wowote kutoka sasa Singida BS tutatangaza benchi ldtu jipya la ufundi. Kwa sasa timu itakuwa chini ya mtaalamu @muhibukanu mpaka pale tutakapomtambulisha Kocha Mpya na Wasaidizi wake.

Kanu ni sehemu ya viongozi wa klabu mwenye taaluma ya Ukocha (CAF Diploma A) na uongozi ulimuamini kumuweka sehemu ya benchi lililopita ili kumjengea uwezo na uzoefu.

Kesho ataiongoza timu yetu kutafuta ushindi dhidi ya KMC FC


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons