Samatta afunga bao lake la kwanza Ufaransa

Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania Mbwana Sammata leo amefunga goli lake La kwanza tangu ajiunge na Le havre ya nchini ufaransa dhidi ya OG Nice

Samatta ameweka rekodi ya kuwa Mtanzania wa kwanza kufunga Goli ligi kuu nchini Ufaransa.

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons