Muhibu Kanu kuendelea kuwa kocha mkuu Singida Black Stars

Uongozi wa Klabu ya Singida Black Stars umefikia makubaliano ya kumuajiri aliyekuwa Kocha wa AS Maniema, Papy Kimoto kuwa Meneja Mkuu wa Timu, pamoja na Kapiten Ngoyi Dora kuwa Kocha Msaidizi, wote wakisaini mikataba ya mwaka mmoja na miezi mitatu.

Aidha, Muhibu Kanu ataendelea kushika nafasi ya Kocha Mkuu hadi mwisho wa msimu huu, akisimamia kikamilifu majukumu ya kiufundi kwa kushirikiana na safu mpya ya Benchi la Ufundi.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons