Moallin amrejesha Mkude Yanga, Sure Boy na Farid ndani


Kocha msaidizi wa Young Africans SC, Abdilamin Moallin amewaongeza wachezaji Faridi Musa, Abuubakar Salum "Sure boy" na Jonas Mkude kwenye mipango ya timu kuelekearoundya pili.

Lakini story kubwa ni kiungo Jonas Mkude ambaye alishasahaurika kama yupo Young Africans na taarifa zilizopo mkude alikua anaumwa kwa muda mrefu, na alikuwa na matatizo binafsi na alipopona kocha Pedro hakua na mpngo na mchezaji huyo.

Lakini hali imekuwa tofauti, kwani ujio wa Moalin ameenda kuwarejesha kwenye kikosi nyota hawa na tunaona kikosi kipana kwa eneo la nafasi kwenye timu.

Hii imekuja baada ya kuonekana hawa ni wachezaji waandamizi ndani ya ligi kuu Tanzania bara na kuyafahamu vyema mazingira ya viwanja vya mikoani kama ambavyo taarifa ya kuongezeka kwa kocha katika benchi la ufundi ilisema.

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons