Minziro atambulishwa Fountain Gate

KLABU ya Fountain Gate imemtambulisha Fredy Felix Minziro kuwa kocha wake mpya Mkuu.

Minziro alikuwa akiinoa timu ya Bigman inayoshiriki Championship na anasifika kwa kuzipandisha timu Ligi Kuu bara na pia kuzibakisha kwenye ligi hiyo.





Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons