Magori, Mangungu awaongoza Simba SC kumzika mwanachama wao
Viongozi mbalimbali wa klabu wakiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi, Crescentius Magori wameshiriki mazishi ya mwanachama mkongwe, Emmanuel Macha Nderimo ‘Babu Macha’ yaliyofanyika makaburi ya Kinondoni, Dar es Salaam.









