Keyekeh ahusishwa na Yanga msimu ujao


Kiungo wa ushambuliaji raia wa Tanzania Emmanuel Keyekeh mbioni kujiunga Young Africans,

Keyekeh kiusili ni mzaliwa wa nchini Ghana ambaye kwasasa amechukua uraia wa Tanzania,

Taarifa kutoka kwenye chanzo chetu zimetujuza kuwa Emmanuel Keyekeh (28) anaelekea kujiunga na Mtanzania Mwenzake Mohamed Damaro baada ya kutamatika msimu huu 2025/26,

Mazungumzo baina ya Young Africans na viongozi wa juu wa klab ya Singida Black Stars yamefikia pazuri


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI