Gomes afurushwa Saudi Arabia

Klabu ya Al Ahadalah inayoshiriki daraja la kwanza nchini Saudi Arabia imemfuta kazi aliyekuwa Kocha wake, Didier Gomes da Rosa kutokana na timu kufanya vibaya.

Gomes amewahi kufundisha Simba SC kwa mafanikio makubwa.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI