Diamond Platinums afunguka makubwa kuhusu Mkubwa Fella

Hatimaye Diamond Platinums ameamua kufunguka ya moyoni ya kumuhusu meneja wake Said Fella "Mkubwa Fella" ambaye kwa sasa ni mgonjwa ambapo msanii huyo na CEO wa Wasafi amefunguka mengi.

"Baada ya kuambiwa Mkubwa Fella nilijitolea kwakila kitu kuanzia Hospital hapa ndani na baadae nikampeleka hadi India kwa Gharama zote nilikuwa nalipa mimi, nilipokea mchango wa mtu aliejitolea Dola Elfu10 za kimarekani,

Pesa hizo nilizichukua zote nikampa mkewe nikamwambia hii pesa wewe chukua utumie kwa matumizi ya nyumbani haya mengine ya Hospitali niachie mimi.

Lakini nilikuja kuumia sana pale niliposikia Mke wa Mkubwa Fella anasema Mimi ninavyojitolea nakuwa kimbelembele kwenye maradhi ya mkubwa Fella nasababisha watu wengine wasimsaidie Mkubwa Baada ya hapo nikaamua kukaa pembeni" Amesema -Diamond Platnumz


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FIFA yatoa orodha ya vilabu bora duniani, Simba na Yanga zachuana vikali

Beno Ngassa mdogo wa Mrisho Ngassa anayekipiga Tanzania Prisons

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI