Vinara wa pasi saidizi (assists) kwenye Ligi kuu ya NBC Tanzania bara mpaka sasa msimu huu.
1. Elie Mpanzu (Simba Sc)— 5
2. Feisal Salum (Azam FC) — 5
3. Duke Abuya (Yanga Sc) — 4
4. Ibrahim Imoro (Singida BS) — 4
5. Baraka Maranyingi (Mbeya City) — 3
6. Israel Mwenda (Yanga Sc) — 3
7. Maxi Nzengeli (Yanga Sc) — 3
8. Lamine Jarjou (Singida BS) — 3
9. Andrew Raymond (Namungo FC) —3
10. Mathew Tegisi (Pamba Jiji) — 2
