Mshambuliaji wa Klabu ya Simba SC, Jonathan Sowah ameonekana akicheza ndondo mtaani nchini kwao Ghana wiki hii ikiwa ni siku chache tangu zilipotoka taarifa za kutaka kuichukulia hatua za kisheria Klabu yake ya Simba kwa kutojali kuhusu kipaji chake.
.
Kwa mjibu wa taarifa za ndani zinaeleza Mshambuliaji huyo pamoja na Wakala wake wameuambia Klabu hiyo wamvunjie mkataba Mshambuliaji huyo kwa kumlipa pesa zake za kuvunjia mkataba ili apate timu ya kwenda kucheza ili alinde kipaji chake.
